فَكَذَّبُوهُ فَإِنَّهُمۡ لَمُحۡضَرُونَ ١٢٧
Fakaddhabūhu fa innahum lamuhdarūn
Wakamkadhibisha. Basi kwa hakika watahudhurishwa;. 127
Maelezo ya chini
127 Lakini walimkadhibisha, basi jaza yao ni kuhudhurishwa kwenye Moto Siku ya Kiyama.