Surat An-Nisa, aya 61

4:61

وَإِذَا قِيلَ لَهُمۡ تَعَالَوۡاْ إِلَىٰ مَآ أَنزَلَ ٱللَّهُ وَإِلَى ٱلرَّسُولِ رَأَيۡتَ ٱلۡمُنَٰفِقِينَ يَصُدُّونَ عَنكَ صُدُودٗا ٦١

Wa idhā qīla lahum ta'ālaw ilā mā anzalallāhu wa ilar-rasūli ra'aytal-munāfiqīna yasuddūna 'anka sudūdā

Na wanapo ambiwa: Njooni kwenye yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, na njooni kwa Mtume; utawaona wanaafiki wanakukwepa kwa upinzani. 61

Maelezo ya chini

61 Na wakiambiwa: Njooni kwenye Qur'ani na Sharia aliyo iteremsha Mwenyezi Mungu, na njooni kwa Mtume wake akubainishieni, utaona hao wanaafiki wanajitenga nawe kabisa wanakukataa.