رُّسُلٗا مُّبَشِّرِينَ وَمُنذِرِينَ لِئَلَّا يَكُونَ لِلنَّاسِ عَلَى ٱللَّهِ حُجَّةُۢ بَعۡدَ ٱلرُّسُلِۚ وَكَانَ ٱللَّهُ عَزِيزًا حَكِيمٗا ١٦٥
Rrusulam mubasshirīna wamundhirīna li allā yakūna lin-nāsi 'alallāhi hujjatu ba'dar-rusuli wakānallāhu 'azīzan hakīmā
Mitume hao ni wabashiri na waonyaji, ili watu wasiwe na hoja juu ya Mwenyezi Mungu baada ya kuletewa Mitume. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima. 165
Maelezo ya chini
165 Tuliwapeleka Mitume hao kuwapa bishara njema ya thawabu wenye kuamini, na kuwaonya adhabu wale walio kufuru, ili watu wasiwe na hoja ya kumtafutia kisababu Mwenyezi Mungu baada ya kwisha wapeleka Mitume. Na Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kila kitu, ni Mshindi, wala hana yeyote madaraka pamoja naye, na ni Mwenye hikima kwa atendayo.