Surat An-Nazi'at, aya 42

79:42

يَسۡـَٔلُونَكَ عَنِ ٱلسَّاعَةِ أَيَّانَ مُرۡسَىٰهَا ٤٢

Yas'alūnaka 'anis-sā'ati ayyāna mursāhā

Wanakuuliza Saa (ya Kiyama) itakuwa lini? 42

Maelezo ya chini

42 Ewe Muhammad! Wanakuuliza, ati, khabari za Saa ya Kiyama, itakuwa lini?