فَإِنَّ ٱلۡجَنَّةَ هِيَ ٱلۡمَأۡوَىٰ ٤١
Fa innal-jannata hiyal-ma'wā
Basi huyo, Pepo itakuwa ndiyo makaazi yake! 41
Maelezo ya chini
41 Basi huyo nyumba ya neema ya Peponi ndio makaazi yake, wala hana penginepo.