Surat An-Nazi'at, aya 31

79:31

أَخۡرَجَ مِنۡهَا مَآءَهَا وَمَرۡعَىٰهَا ٣١

Akhraja minhā mā'ahā wamar'āhā

Akatoa ndani yake maji yake na malisho yake, 31

Maelezo ya chini

31 Akatoa ndani yake maji yake yanayo tibuka katika chemchem zake, na ikamiminika mito yake, na ikawa na mimea yake ya chakula kwa ajili ya watu na wanyama;