Surat An-Nazi'at, aya 30

79:30

وَٱلۡأَرۡضَ بَعۡدَ ذَٰلِكَ دَحَىٰهَآ ٣٠

Wal-arda ba'da dhālika dahāhā

Na juu ya hivyo ameitandaza ardhi. 30

Maelezo ya chini

30 Na ardhi baada ya hayo akaikunjua, na akaisawazisha, ikasilihi kukaliwa na watu wake?