Surat An-Nazi'at, aya 28

79:28

رَفَعَ سَمۡكَهَا فَسَوَّىٰهَا ٢٨

Rafa'a samkahā fasawwāhā

Akainua kimo chake, na akaitengeneza vizuri. 28

Maelezo ya chini

28 Na kunyanyua kimo chake, na zikakaa sawa hazina tafauti wala ila?