Surat An-Nazi'at, aya 21

79:21

فَكَذَّبَ وَعَصَىٰ ٢١

Fakaddhaba wa'asā

Lakini aliikadhibisha na akaasi. 21

Maelezo ya chini

21 Lakini Firauni alimkadhibisha Musa kwa aliyo kuja nayo, na akamuasi kwa aliyo mwitia.