Surat An-Najm, aya 55

53:55

فَبِأَيِّ ءَالَآءِ رَبِّكَ تَتَمَارَىٰ ٥٥

Fabi'ayyi ālā'i rabbika tatamārā

Basi neema gani ya Mola wako Mlezi unayo ifanyia shaka? 55

Maelezo ya chini

55 Basi katika neema za Mola wako Mlezi una shaka nayo ipi?