Surat An-Najm, aya 56

53:56

هَٰذَا نَذِيرٞ مِّنَ ٱلنُّذُرِ ٱلۡأُولَىٰٓ ٥٦

Hādhā nadhīrum minan-nudhuril-ūlā

Hili ni Onyo katika maonyo yale yale ya zamani. 56

Maelezo ya chini

56 Hii Qur'ani ni onyo katika jinsi ya yale yale maonyo ya kale waliyo onywa kwayo watu walio tangulia.