Surat An-Najm, aya 43

53:43

وَأَنَّهُۥ هُوَ أَضۡحَكَ وَأَبۡكَىٰ ٤٣

Wa annahū huwa adhaka wa abkā

Na kwamba Yeye ndiye anaye leta kicheko na kilio. 43

Maelezo ya chini

43 Na Yeye peke yake ni Mwenye uweza wa kuufanya uso uonyeshe furaha au maudhiko, na pia ni Mwenye kuziumba sababu za starehe na dhiki.