Surat An-Najm, aya 44

53:44

وَأَنَّهُۥ هُوَ أَمَاتَ وَأَحۡيَا ٤٤

Wa annahū huwa amāta wa ahyā

Na kwamba Yeye ndiye anaye fisha na kuhuisha. 44

Maelezo ya chini

44 Na hakika ni Yeye, ndiye Mwenye kuondoa uhai, na kuuleta.