Surat An-Najm, aya 42

53:42

وَأَنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ ٱلۡمُنتَهَىٰ ٤٢

Wa anna ilā rabbikal-muntahā

Na kwamba kwao Mola wako Mlezi ndio mwisho. 42

Maelezo ya chini

42 Na kwamba kwa hakika ni kwa Mola wako Mlezi, wala si kwa mwenginewe, ndio miadi ya kurejea.