لَقَدۡ رَأَىٰ مِنۡ ءَايَٰتِ رَبِّهِ ٱلۡكُبۡرَىٰٓ ١٨
Laqad ra'ā min āyāti rabbihil-kubrā
Kwa yakini aliona katika Ishara kubwa kabisa za Mola wake Mlezi. 18
Maelezo ya chini
18 Hakika ameona mengi katika Ishara za Mwenyezi Mungu na maajabu yake makubwa makubwa.