مَا زَاغَ ٱلۡبَصَرُ وَمَا طَغَىٰ ١٧
Mā zāghal-basaru wamā taghā
Jicho halikuhangaika wala halikuruka mpaka. 17
Maelezo ya chini
17 Jicho la Muhammad halikubabaika kwa aliyo yaona, na wala hakukiuka mpaka ya aliyo amrishwa kwa kuona kwake huko.