Surat An-Najm, aya 16

53:16

إِذۡ يَغۡشَى ٱلسِّدۡرَةَ مَا يَغۡشَىٰ ١٦

Idh yaghshas-sidrata mā yaghshā

Kilipo ufunika huo Mkunazi hicho kilicho ufunuika. 16

Maelezo ya chini

16 Vikafunikwa na kuzibwa, kwa fadhila ya Mwenyezi Mungu, visio weza kuelezwa.