Surat An-Najm, aya 15

53:15

عِندَهَا جَنَّةُ ٱلۡمَأۡوَىٰٓ ١٥

'Indahā jannatul-ma'wā

Karibu yake ndiyo ipo Bustani inayo kaliwa. 15

Maelezo ya chini

15 Na akasimulia kuwa hapo ndio ipo Jannatul Ma-awa, Bustani inayo kaliwa.