Surat An-Najm, aya 14

53:14

عِندَ سِدۡرَةِ ٱلۡمُنتَهَىٰ ١٤

'Inda sidratil-muntahā

Penye Mkunazi wa mwisho. 14

Maelezo ya chini

14 Katika pahala pasipo juulikana ila na Mwenyezi Mungu tu, ambapo amepaita Sidratul muntahaa, "Mkunazi wa Mwisho".