أَفَتُمَٰرُونَهُۥ عَلَىٰ مَا يَرَىٰ ١٢
Afatumārūnahū 'alā mā yarā
Je! Mnabishana naye kwa aliyo yaona? 12
Maelezo ya chini
12 Hivyo nyinyi mnamkadhibisha Mtume wa Mwenyezi Mungu na mnabishana naye kwa aliyo yaona kwa macho yake?