وَلَقَدۡ رَءَاهُ نَزۡلَةً أُخۡرَىٰ ١٣
Walaqad ra'āhu nazlatan ukhrā
Na akamwona mara nyingine, 13
Maelezo ya chini
13 Na bila ya shaka Muhammad alimwona Jibrili kwa sura yake mara nyengine,
وَلَقَدۡ رَءَاهُ نَزۡلَةً أُخۡرَىٰ ١٣
Walaqad ra'āhu nazlatan ukhrā
Na akamwona mara nyingine, 13
13 Na bila ya shaka Muhammad alimwona Jibrili kwa sura yake mara nyengine,