Surat An-Najm, aya 11

53:11

مَا كَذَبَ ٱلۡفُؤَادُ مَا رَأَىٰٓ ١١

Mā kadhabal-fu'ādu mā ra'ā

Moyo haukusema uwongo uliyo yaona. 11

Maelezo ya chini

11 Moyo wa Muhammad haukukanya yale macho yake yaliyo yaona.