يَخَافُونَ رَبَّهُم مِّن فَوۡقِهِمۡ وَيَفۡعَلُونَ مَا يُؤۡمَرُونَ۩ ٥٠
Yakhāfūna rabbahum min fawqihim wayaf'alūna mā yu'marūn
Vinamkhofu Mola wao Mlezi aliye juu yao, na vinafanya vinavyoamrishwa. 50
Maelezo ya chini
50 Na hali yao ni kuwa daima wamo katika kumkhofu Mola wao Mlezi, Mwenye uwezo na nguvu, na wanafanya anayo waamrisha.