۞ وَقَالَ ٱللَّهُ لَا تَتَّخِذُوٓاْ إِلَٰهَيۡنِ ٱثۡنَيۡنِۖ إِنَّمَا هُوَ إِلَٰهٞ وَٰحِدٞ فَإِيَّٰيَ فَٱرۡهَبُونِ ٥١
Waqālallāhu lā tattakhidhū ilāhaynithnayni innamā huwa ilāhun wāhidun fa iyyāya farhabūn
Na Mwenyezi Mungu amesema: Msiwe na miungu wawili! Hakika Yeye ni Mungu Mmoja. Basi niogopeni Mimi tu! 51
Maelezo ya chini
51 Mwenyezi Mungu amesema: Msiabudu wawili, wala msifanye miungu wawili. Kwani kushiriki katika ibada kunapingana na Umoja wa kuumba. Wa kuabudiwa kwa Haki ni Mungu Mmoja tu. Basi niogopeni Mimi wala msimkhofu mwengine.