Surat An-Nahl, aya 20

16:20

وَٱلَّذِينَ يَدۡعُونَ مِن دُونِ ٱللَّهِ لَا يَخۡلُقُونَ شَيۡـٔٗا وَهُمۡ يُخۡلَقُونَ ٢٠

Walladhīna yad'ūna min dūnillāhi lā yakhluqūna shay'an wahum yukhlaqūn

Na wale wanao waomba wasio kuwa Mwenyezi Mungu hawaumbi kitu,bali wao wameumbwa. 20

Maelezo ya chini

20 Huyu Muumba, na Mjuzi wa kila kitu, ndiye Yeye peke yake anaye stahiki kuabudiwa. Ama hayo masanamu mnayo yaabudu, hayo hayawezi kuumba chochote, hata nzi. Bali hayo yenyewe yameumbwa, na pengine mmeyaunda nyinyi wenyewe kwa mikono yenu.