ثُمَّ أَوۡحَيۡنَآ إِلَيۡكَ أَنِ ٱتَّبِعۡ مِلَّةَ إِبۡرَٰهِيمَ حَنِيفٗاۖ وَمَا كَانَ مِنَ ٱلۡمُشۡرِكِينَ ١٢٣
Thumma awhaynā ilayka anit-tabi' millata ibrāhīma hanīfan wamā kāna minal-mushrikīn
Kisha tukakufunulia ya kwamba ufuate mila ya Ibrahim, mwongofu,wala hakuwa miongoni mwa washirikina. 123
Maelezo ya chini
123 Ewe Nabii! Baada ya Ibrahim kwa karne nyingi, tulikupa Wahyi wewe, na tukakuamrisha umfuate Ibrahim katika wito wake wa kulingania Tawhid, na fadhila njema, na kujiepusha na dini za uwongo. Kwani yeye hakuwa katika wanao mshirikisha Mwenyezi Mungu, kama wanavyo msingizia hawa washirikina.