Surat An-Nahl, aya 122

16:122

وَءَاتَيۡنَٰهُ فِي ٱلدُّنۡيَا حَسَنَةٗۖ وَإِنَّهُۥ فِي ٱلۡأٓخِرَةِ لَمِنَ ٱلصَّٰلِحِينَ ١٢٢

Wa ātaynāhu fid-dunyā hasanatan wa innahū fil-ākhirati laminas-sālihīn

Na tukampa wema duniani, na hakika Akhera atakuwa miongoni mwa watu wema. 122

Maelezo ya chini

122 Na tumemjaalia duniani atajike vyema, na hakika Akhera atakuwa miongoni mwa watu wema wanao neemeshwa kwa Pepo za Allah na radhi zake.