يُنۢبِتُ لَكُم بِهِ ٱلزَّرۡعَ وَٱلزَّيۡتُونَ وَٱلنَّخِيلَ وَٱلۡأَعۡنَٰبَ وَمِن كُلِّ ٱلثَّمَرَٰتِۚ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَةٗ لِّقَوۡمٖ يَتَفَكَّرُونَ ١١
Yumbitu lakum bihiz-zar'a waz-zaytūna wan-nakhīla wal-a'nāba wamin kullith-thamarāti inna fī dhālika la'āyatal liqawmin yatafakkarūn
Kwa hayo Yeye anaizalisha kwa ajili yenu mimea, na mizaituni,na mitende, na mizabibu, na kila namna ya matunda. Hakika katika haya zipo ishara kwa watu wanao fikiri. 11
Maelezo ya chini
11 Kwa maji yateremkayo mbinguni humea makulima ambayo tunakutoleeni nafaka na mizaituni, na mitende, na mizabibu na mengineyo, katika kila namna ya matunda mlayo mbali yaliyo tajwa. Hakika kuwepo vitu hivi ni alama ya kuwaongoa watu wanao nufaika kwa akili zao, wakazingatia uwezo uliyo patisha hayo.