Surat An-Nahl, aya 10

16:10

هُوَ ٱلَّذِيٓ أَنزَلَ مِنَ ٱلسَّمَآءِ مَآءٗۖ لَّكُم مِّنۡهُ شَرَابٞ وَمِنۡهُ شَجَرٞ فِيهِ تُسِيمُونَ ١٠

Huwal-ladhī anzala minas-samā'i mā'al lakum minhu sharābun waminhu shajarun fīhi tusīmūn

Yeye ndiye anaye kuteremshieni maji kutoka mbinguni. Katika hayo nyinyi mnapata ya kunywa, na miti ya kulishia. 10

Maelezo ya chini

10 Yeye ndiye anaye teremsha maji kutoka jiha ya mbinguni. Katika hayo mnapata kunywa, na mengine ndio inapelekea miti kumea. Nanyi hupeleka wanyama wenu wakale kwenye miti hiyo, nao wakupeni maziwa, na nyama, na sufi, na manyoa, na nywele.