Surat An-Naba, aya 22

78:22

لِّلطَّٰغِينَ مَـَٔابٗا ٢٢

Llit-tāghīna ma'ābā

Kwa walio asi ndio makaazi yao, 22

Maelezo ya chini

22 Yawe ni marejeo na mafikio kwa wenye kupindukia mipaka ya Mwenyezi Mungu.