إِنَّ جَهَنَّمَ كَانَتۡ مِرۡصَادٗا ٢١
Inna jahannama kānat mirsādā
Hakika Jahannamu inangojea! 21
Maelezo ya chini
21 Hakika Jahannamu imekuwa kama ni kitu kinacho ngojea, walinzi wake wanawangojea watu watakao kuja kuingia.