Surat Al-Waqi'ah, aya 87

56:87

تَرۡجِعُونَهَآ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ ٨٧

Tarji'ūnahā in kuntum sādiqīn

Kwanini hamuirudishi hiyo roho, ikiwa nyinyi mnasema kweli? 87

Maelezo ya chini

87 Mrudishieni roho yake huyo aliye kabiliwa na mauti ikiwa nyinyi mwasema kweli kwamba nyinyi mnazo nguvu na hamshindwi.