Surat Al-Waqi'ah, aya 86

56:86

فَلَوۡلَآ إِن كُنتُمۡ غَيۡرَ مَدِينِينَ ٨٦

Falawlā in kuntum ghayra madīnīn

Na lau kuwa nyinyi hamumo katika mamlaka yangu, 86

Maelezo ya chini

86 Basi je! Ikiwa nyinyi si wenye kunyenyekea kwa Ungu wetu,