Surat Al-Waqi'ah, aya 88

56:88

فَأَمَّآ إِن كَانَ مِنَ ٱلۡمُقَرَّبِينَ ٨٨

Fa ammā in kāna minal-muqarrabīn

Basi akiwa miongoni mwa walio karibishwa, 88

Maelezo ya chini

88 Ama akiwa huyo aliye kabiliwa na mauti ni katika walio tangulia walio karibishwa ,