وَنَحۡنُ أَقۡرَبُ إِلَيۡهِ مِنكُمۡ وَلَٰكِن لَّا تُبۡصِرُونَ ٨٥
Wanahnu aqrabu ilayhi minkum walākil lā tubsirūn
Na Sisi tuko karibu zaidi naye kuliko nyinyi. 85
Maelezo ya chini
85 Na Sisi tuko karibu zaidi kwa huyo aliye kabiliwa na mauti na tunaijua zaidi hali yake kuliko nyinyi, lakini nyinyi hamjui hayo wala hamhisi.