Surat Al-Waqi'ah, aya 82

56:82

وَتَجۡعَلُونَ رِزۡقَكُمۡ أَنَّكُمۡ تُكَذِّبُونَ ٨٢

Wataj'alūna rizqakum annakum tukaddhibūn

Na badala ya kushukuru kwa riziki yenu mnafanya kuwa mnakadhibisha? 82

Maelezo ya chini

82 Na badala ya kuishukuru riziki yenu ndio mna ikadhibisha?