Surat Al-Waqi'ah, aya 81

56:81

أَفَبِهَٰذَا ٱلۡحَدِيثِ أَنتُم مُّدۡهِنُونَ ٨١

Afabihādhal-hadīthi antum mudhinūn

Ni maneno haya ndiyo nyinyi mnayapuuza? 81

Maelezo ya chini

81 Je! Mnapuuza? Ni Qur'ani hii tukufu ndio nyinyi mnaidharau?