Surat Al-Waqi'ah, aya 80

56:80

تَنزِيلٞ مِّن رَّبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ٨٠

Tanzīlum mir rabbil-'ālamīn

Ni uteremsho unao toka kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 80

Maelezo ya chini

80 imeteremshwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu Mola Mlezi wa viumbe vyote.