Surat Al-Waqi'ah, aya 78

56:78

فِي كِتَٰبٖ مَّكۡنُونٖ ٧٨

Fī kitābim maknūn

Katika Kitabu kilicho hifadhiwa. 78

Maelezo ya chini

78 Imo katika ubao ulio hifadhiwa Al-lauhu-lmahfudh, usio karibiwa na yeyote ila Malaika walio karibishwa kwa Mwenyezi Mungu. (Kwa watumiaji Computer wanaweza kukisia kuwa hiyo Al-lauhu-lmahfudh ni kama Disk iliyomo ndani ya Computer na haigusi mtu, na Misahafu tunayo iona, na kuisoma, ni kama yapigwayo chapa kutoka hiyo Disk.)