Surat Al-Waqi'ah, aya 60

56:60

نَحۡنُ قَدَّرۡنَا بَيۡنَكُمُ ٱلۡمَوۡتَ وَمَا نَحۡنُ بِمَسۡبُوقِينَ ٦٠

Nahnu qaddarnā baynakumul-mawta wamā nahnu bimasbūqīn

Sisi tumekuwekeeni mauti; na wala Sisi hatushindwi 60

Maelezo ya chini

60 Sisi tumekuhukumieni mauti, na tumeweka wakati makhsuri wa kufa kwenu. Na wala Sisi si wenye kushindwa kukubadilisheni sura zenu,