Surat Al-Waqi'ah, aya 59

56:59

ءَأَنتُمۡ تَخۡلُقُونَهُۥٓ أَمۡ نَحۡنُ ٱلۡخَٰلِقُونَ ٥٩

A'antum takhluqūnahū am nahnul-khāliqūn

Je! Mnaiumba nyinyi, au ni Sisi ndio Waumbaji? 59

Maelezo ya chini

59 Ni nyinyi ndio mwenye uweza juu yake na kuilea mpaka ikawa mtu, au ni Sisi ndio twenye makadara hayo?