Surat Al-Waqi'ah, aya 61

56:61

عَلَىٰٓ أَن نُّبَدِّلَ أَمۡثَٰلَكُمۡ وَنُنشِئَكُمۡ فِي مَا لَا تَعۡلَمُونَ ٦١

'Alā an nubaddila amthālakum wanunshi'akum fī mā lā ta'lamūn

Kuwaleta wengine badala yenu na kukuumbeni nyinyi kwa umbo msilo lijua. 61

Maelezo ya chini

61 Na wala Sisi si wenye kushindwa kukubadilisheni sura zenu, na kuzileta nyengine, na tukakuumbeni katika umbo jengine na sura nyengine msiyo ijua.