أُوْلَٰٓئِكَ ٱلۡمُقَرَّبُونَ ١١
Ulā'ikal-muqarrabūn
Hao ndio watakao karibishwa 11
Maelezo ya chini
11 Hao ndio walio karibishwa mbele kwa Mwenyezi Mungu. Mola wao Mlezi atawatia katika Bustani zenye neema.
أُوْلَٰٓئِكَ ٱلۡمُقَرَّبُونَ ١١
Ulā'ikal-muqarrabūn
Hao ndio watakao karibishwa 11
11 Hao ndio walio karibishwa mbele kwa Mwenyezi Mungu. Mola wao Mlezi atawatia katika Bustani zenye neema.