Surat Al-Waqi'ah, aya 10

56:10

وَٱلسَّٰبِقُونَ ٱلسَّٰبِقُونَ ١٠

Was-sābiqūnas-sābiqūn

Na wa mbele watakuwa mbele. 10

Maelezo ya chini

10 Na walio tangulia mbele katika mambo ya kheri duniani ndio watakuwa mbele katika vyeo vya Akhera.