أَلَيۡسَ ذَٰلِكَ بِقَٰدِرٍ عَلَىٰٓ أَن يُحۡـِۧيَ ٱلۡمَوۡتَىٰ ٤٠
Alaysa dhālika biqādirin 'alā an yuhyal-mawtā
Je! Huyo hakuwa ni Muweza wa kufufua wafu? 40
Maelezo ya chini
40 Je! Huyo Muumba wa mwanzo aliye fanya yote haya, basi si muweza wa kuwahuisha maiti baada ya kuyakusanya mafupa yao?