Surat Al-Qiyamah, aya 39

75:39

فَجَعَلَ مِنۡهُ ٱلزَّوۡجَيۡنِ ٱلذَّكَرَ وَٱلۡأُنثَىٰٓ ٣٩

Faja'ala minhuz-zawjaynidh-dhakara wal-unthā

Kisha akamfanya namna mbili, mwanamume na mwanamke. 39

Maelezo ya chini

39 Akajaalia namna mbili, mwanamume na mwanamke?