وَظَنَّ أَنَّهُ ٱلۡفِرَاقُ ٢٨
Wazanna annahul-firāq
Na mwenyewe akajua kwa hakika kuwa huko ndiko kufariki; 28
Maelezo ya chini
28 Akayakinisha yule yaliyo mfika mauti kama lililo mshukia ni kuiacha dunia inayo pendwa, na imekwisha mfika shida yake kikomo cha mwisho.