Surat Al-Qiyamah, aya 26

75:26

كَلَّآ إِذَا بَلَغَتِ ٱلتَّرَاقِيَ ٢٦

Kallā idhā balaghatit-tarāqiy

La, hasha! (Roho) itakapo fikia kwenye mafupa ya koo, 26

Maelezo ya chini

26 Mna nini na kuipenda dunia ambayo mnaifariki roho inapo fika katika mafupa ya kooni,