Surat Al-Qiyamah, aya 25

75:25

تَظُنُّ أَن يُفۡعَلَ بِهَا فَاقِرَةٞ ٢٥

Tazunnu an yuf'ala bihā fāqirah

Zitajua ya kuwa zitafikiwa na livunjalo uti wa mgongo. 25

Maelezo ya chini

25 Zinangojea zitendewe jambo ambalo kwa kitisho chake linavunja uti wa mgongo.