Surat Al-Qiyamah, aya 23

75:23

إِلَىٰ رَبِّهَا نَاظِرَةٞ ٢٣

Ilā rabbihā nāzirah

Zinamwangallia Mola wao Mlezi. 23

Maelezo ya chini

23 Siku hiyo zitakuwapo nyuso nzuri, zenye kumwangalia Mola wao Mlezi bila ya kusema kwa sifa gani, wajihi gani, au masafa gani.